Matili Technical Training Institute
| Service Point | Service Rendered | Cost | Time |
|---|---|---|---|
| Main Gate | Ushering in and directing Visitors (Visitors shall be registered in the visitors book) | FREE | On arrival |
| Customer Care | Visitors’ enquiries shall be responded to promptly | FREE | Promptly |
| Principal’s Office | Administrative correspondence – office fully operational on all working days | FREE | 8 a.m. – 4 p.m. |
| Principal’s Office | All letters shall be replied to / All phones answered promptly | FREE | Within a week / Promptly |
| Principal’s Office | Requested recommendations issued | FREE | 3 days |
| Deputy Principal’s Office | Administrative duties fully operational | FREE | 8 a.m. – 4 p.m. |
| Registrar’s Office | Admission upon arrival | KSHS. 500 | Within a day |
| Registry | Registration upon submission of bank slip | FREE | Within a day |
| Examination Office | Registration of National Exams (for trainees who paid) | Per course | 2 weeks before deadline |
| Examination Office | Issuance of time table / Results / Internal exams | FREE | Before opening / Within 2 weeks to exams |
| Accounts Office | Receipts upon bank slip presentation | FREE | Within a day |
| Dean of Students Office | Boarding facilities allocated first come basis | FREE | Upon payment receipts |
| Dean of Students Office | Issuance of ID and Bed Cards | FREE | 30 days / Within a day |
| Huduma | Maelezo | Gharama | Muda |
|---|---|---|---|
| Lango Kuu | Kupokea na kuelekeza wageni; wageni kusajiliwa katika kitabu cha mapokezi | Bure | Anapowasili |
| Huduma kwa Wateja | Maswali ya wageni yatashughulikiwa | Bure | Papo hapo |
| Ofisi ya Katibu | Nyaraka zote zitapelekwa kwa ofisi husika | Bure | Papo hapo |
| Mkurugenzi Mkuu | Afisi wazi siku zote za kazi (8:00am–4:00pm) | Bure | Kila siku za kazi |
| Nyaraka (Barua) | Barua zote zitajibiwa | Bure | Wiki moja |
| Naibu Mkurugenzi Mkuu | Afisi wazi siku zote za kazi (8:00am–4:00pm) | Bure | Kila siku za kazi |
| Ofisi ya Msajili | Wakurufunzi watajiliwa pindi wanapowasili | Sh. 500 | Papo hapo |
| Usajili | Wakurufunzi watasajiliwa baada ya kuwasilisha stakabadhi ya benki | Bure | Siku moja |
| Ofisi ya Mitihani | Usajili wa mitihani ya kitaifa kwa waliolipia | Karo ya kozi | Majuma 2 kabla ya kufungwa |
| Ratiba na Matokeo | Ratiba na matokeo yatabandikwa kwa ubao wa matangazo | Bure | Kabla ya kufungwa |
| Ofisi ya Uhasibu | Risiti zinatolewa unapowasilisha stakabadhi ya malipo | Bure | Siku moja |
| Ofisi ya Mwanafunzi | Vitambulisho na vitanda kutolewa baada ya malipo | Bure | Siku 30 / Siku moja |